Thursday, August 19, 2010

Upendo wa Familia


Maisha ya waafrika ni ya familia iliyotanuka (Extended Family)mke watoto, wadogo, shemeji, wapwa, binamu na wengineo. Ndivyo tunavyoishi na tunapata raha sana na Mungu anatusaidia. Tunasaidia nao wawasaidie wengine. Hata sisi tulisaidiwa pia.

2 comments:

Belo said...

Naona list haijatimia,niko Moro nikirudi napanga kuja Kisemvule

Innocent John Banzi said...

Ni kweli Sisti amekosekana na wengine wengi tu ambao tumeweza kuishi nao