Sunday, January 15, 2012

Familia nyingi zitaongeza matumizi ya mkaa

Kwa kuongeza malipo ya unit ya umeme ni dhahiri matumizi ya mkaa yataongezeka kama Banzi wa Moro alivyoikuta familia hii huko A town ikiandaa chakula kwa kutumia jiko la mkaa

No comments: