Thursday, January 12, 2012

Hotel Pallsons Arusha

Hapa ni katikati ya Jiji la Arusha. Hapa ni kama Kariakoo ya Dar Es Salaam mipango mingi ya biashara hufanyika hapa.Umeshawahi kusikia hotel Pallson ndilo hilo jengo la njano.

No comments: