Friday, January 13, 2012

Ni wakati wa kuwasilisha

Mafunzo yetu hapa ESAMI ni kwa vitendo tunapata nyenzo (skills) kisha tunazifanyia kazi na kuwasilisha kazi pia tunajadili kwa pamoja. Pichani dada Baye akiwasilisha moja ya kazi ya kikundi siku ya Alhamisi tar 12/1/2012

No comments: