Monday, January 2, 2012

Mwenyeji wa mwaka mpya 2012

Hasbon Makishe (Pichani mwenye kinywaji)na familia yake walikuwa wenyeji wa mwaka mpya 2012

2 comments:

geve said...

We Banzi, lete za Matombo kwenu hapa...

Innocent John Banzi said...

Ah asante geve kwa comment yako nzuri. Lakini huyo ni rafiki yangu tunaishi wote Kisemvule Mkuranga alituonyesha jinsi ya kuchoma nyama. Nami nitamuonyesha jinsi ya kuchoma mahindi