Thursday, January 19, 2012

Mashamba ya maua Arusha

Mkoa wa Arusha ni maarufu kwa uzalishaji wa maua hapa nchini. Maua yana soko kubwa nje ya nchi. Hivi ndivyo maua haya yanavyozalishwa kwenye vibanda maalum (Green houses).

No comments: