Tuesday, January 31, 2012

Napenda kurudi ESAMI

Nachangia uzoefu
Nje ya jengo Kuu la ESAMI
Kama ulishawahi kufika ESAMI na kutembea kwa Miguu kuelekea Chuoni hutokisahau kilima hiki.
Barabara kuelekea Esami ni safi ni maua yaliyopogolewa vizuri
Karibu ESAMI hapa ndipo langu KUU

No comments: