Thursday, January 12, 2012

Jua limekausha mahindi ya Arusha


Wenyeji wa Jiji la Arusha wanatabia ya kulima mahindi pembezoni mwa nyumba zao. WakatI Dar mafuriko.Arusha ni jua kali. Pengine watapata mahindi ya kuchoma tu.

No comments: