Tuesday, January 31, 2012

Wahitimu wa mafunzo ya Jinsia katika Bajeti kutoka Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika

Baye Omari kutoka Idara ya Sera na Mipango
John Banzi kutoka Idara ya Utafiti na Maendeleo
Loyce Lubonera kutoka Idara ya Umwagiliaji na Huduma za Kifundi
Evelyine Kizwalo kutoka Idara ya Sera na Mipango
Henry Kilapilo kutoka Idara ya Zana za Kilimo
Dorothy Lukwale kutoka Idara ya Uendelezaji wa Mazao

No comments: