Thursday, August 7, 2014

Askari anayetumia meno

    Ukiwa na ulinzi huu nyumbani kwako si rahisi  wanakupa tahadhari usiku na kujihami  vizuri kwa ulinzi.    Sisemi kuwa hutoibiwa maana wezi wanambinu nyingi wanaweza kuwapa sumu wote hawa. (Picha kwa hisani ya facebook ya George Mandepo- huenda wakawa wakwake hawa maana ana asili nao!)

No comments: