Maji yatiririka kilimani-Moro
Mbuga za wanyama- Moro
Matunda kama vile ndizi na machungwa- Moro
Misitu na ndege wa kuvutia - Moro
Mpunga a.k.a ubwabwa kwa wingi-Moro
Soka safi-Moro
Muziki na starehe - Moro
Banzi wa Moro najivunia kuwa asili yangu ni Moro. Morogoro naipenda!
No comments:
Post a Comment