Monday, August 11, 2014

Wapambe hawakosi








Kwenye sherehe yoyote wapambe huwa hawakosi na wako smart. Wengine watavaa nguo za kutisha kama huyo aliyevalia Tshirt yenye picha ya skull. Wengine nguo nzuri sana kama hao waliovalia shirt za jeans na wengine draft. Wapambe huchagua sehemu nzuri 'strategically' angalia walivyobanana kwenye coach moja safi. Wapambe hupenda kula pembeni ili wengine wasijue wanachokula.Wapambe pia hutabasamu. Hao ndiyo wapambe.

No comments: