Thursday, August 7, 2014

Unamkumbuka? Mwanadamu wa kwanza mwezini- Neil Armstrong

Tujikumbushe. Mwanadamu wa kwanza kutoa mwezini ni mwanaanga Neil Armstrong. Habari hizi za kwenda mwezini  nazikumbuka nikiwa bado mtoto wa shule za msingi. Ilikuwa habari nzito. Pichani Armstrong kwenye mavazi ya uananga enzi zake na kulia alipofikia umri mkubwa ni yule yule wa tabasamu. Armstrong amefariki mwaka 2012


Maelezo mafupi kwa Kiingereza

After returning from the Moon, Armstrong completed his post-flight requirements and then served as the Deputy Associate Administrator for aeronautics at ARPA for a year.  After that he became a professor of aerospace engineering at the University of Cincinnati for eight years.  After that he worked as a spokesman for Chrysler and a few other companies.  He also served on the boards of several companies including United Airlines and was the Chairman of the Board for EDO.  After the loss of the Space Shuttle Challenger, he was asked by the President to serve on the Rogers Commission that investigated that accident.  Neil Armstrong died in 2012.

No comments: