Wednesday, August 6, 2014

Tulilazimishwa kula chakula

Tulipokuwa wadogo wengi wetu hatukupenda kula chakula. Watoto hupenda kucheza zaidi kuliko mambo mengine. Pichani dada Suzy Banzi akilazimisha Norbert M.Banzi kula chakula

No comments: