Monday, August 11, 2014

Siku ya komunio ya Kwanza-Upanga










Tarehe  10/08/2014 katika Kanisa Katoliki la Upanga  kulifanyika sherehe ya kupata komunio ya kwanza kwa watoto karibuni 20. Ibada iliandeshwa lwa lugha ya Kiingereza ambayo wahusika (watoto waliopata ekaristi) walionekana kuimudu  kwa ushiriki wao huku Banzi wa Moro akifuatilia ibada hiyo kupatia maandiko yaliyotayarishwa kanisani!

No comments: