Monday, August 18, 2014

Harusi poa

Mke wangu Nancy Mbawala akimsimamia Bi Harusi

Wanandoa wakipeana mikono 

Tarehe 2/8/2014 mimi na mke wangu tulisimamia harusi ya Bw na Bi Anthomy Mmore. Harusi ilifungwa kwenye kanisa  Katoliki ya Mt. Vinsenti wa Paulo-Vikindu, Jimbo Kuu la Dar Es Salaam. Taafrija fupi iliyoshirikisha wanandoa wengine ilifanywa na  Jumuiya ya  Mt. Inyasi.Zote mbili zilikuwa ni harusi poa!

No comments: