Monday, August 11, 2014

Mkate na Kinywaji









Shughuli inakuwa shughuli kukiwa na kinywaji, Mkate hauliki bila divai. Ndipo pilika za kufungua kinywaji zilipoanza na watoto wote wanne (Billy,Daniella,Dinielle na Nia walipofungua champaigne kila mmoja na yake. Nasi tulikunywa kwa niaba yao.

No comments: