Monday, August 18, 2014

Mr. Mkude na Romani wapokelewa kwa shangwe Kisemvule









Jana tarehe 17/08/2014 Mr. Mkude (Mwenye T-shirt  nyeupe na collar rangi ya chungwa) na Roman walifanya ziara ya kushtukiza nyumbani kwangu Kisemvule. Walipokelewa kwa shangwe na kupata picha za ukumbusho.

No comments: