Wednesday, August 6, 2014

'Junior'-Super Star wa Eid Elftri 2014-Kisemvule

Hapo sasa!
Wakati mwingine lazima uangalie chini!

Kucheza ni pamoja na kufurahi

unapocheza mashabiki hawakosi. Aunt yao mama Banzi alijiunga kundini

weweeee

kukatika imo

maringo yanaruhusiwa

Kama kuna uncle aliyetuburudisha wakati wa Sikukuu ya Eid Elftri 2014 nyumbani Kisemvule basi ni uncle Junior kutoka Buguruni-Dar (T-shirt ya punda milia) . Aliondoka kwa midundo ya Kinigeria.

2 comments:

Anonymous said...

Nani kafanya hivyo!!!! uncle hapa lazima niweke strategy ya kutuingizia kipato-ujasiriamali kwanza, usituchoke!!

Innocent John Banzi said...

Kweli fanya hivyo. Unajua fedha haichugui profession na hujui ni vyema kuweka strategies nzuri za kuingiza kipato sister.