| Hapo sasa! |
| Wakati mwingine lazima uangalie chini! |
| Kucheza ni pamoja na kufurahi |
| unapocheza mashabiki hawakosi. Aunt yao mama Banzi alijiunga kundini |
| weweeee |
| kukatika imo |
| maringo yanaruhusiwa |
Kama kuna uncle aliyetuburudisha wakati wa Sikukuu ya Eid Elftri 2014 nyumbani Kisemvule basi ni uncle Junior kutoka Buguruni-Dar (T-shirt ya punda milia) . Aliondoka kwa midundo ya Kinigeria.
2 comments:
Nani kafanya hivyo!!!! uncle hapa lazima niweke strategy ya kutuingizia kipato-ujasiriamali kwanza, usituchoke!!
Kweli fanya hivyo. Unajua fedha haichugui profession na hujui ni vyema kuweka strategies nzuri za kuingiza kipato sister.
Post a Comment