Wednesday, December 7, 2011

Chodo na rivasi ya taxi

Unapokuwa na gari halafu watoto hawalipandi.Unawapa nauli ya daladala wakati mnakoelekea ni kumoja. Huwa wanajiuliza hivi baba amenunua gari kwa faida ya nani? Miwshowe wanaweza kukufanyizia kama hivi unapowaomba wakueleze unaporudi nyuma!

No comments: