Tuesday, December 6, 2011

Ndivyo tulivyompokea binti yetu

Maria akimlisha keki Bibi yake - Mama Mbawala
Mama ampongeza mwana
Hakika tulimtayarishia keki nzuri kutoka Tandika ambayo ilisafirishwa kwa daladala za kuunga unga - Tandika-Kongowe-Kisemvule lakini nilifikia nayo salama siku ya Ijumaa tarehe 2/12/2012

Binti yetu Maria Banzi alikuwa ni mmoja wa wahitimu katika Kituo cha Awali cha St. Vicent-Vikindu. Hivi ndivyo tulivyompongeza.

No comments: