Friday, December 2, 2011

Raslimali watu


Kwa muda wa siku nne nilikuwa napata shule ya jinsi ya kuandaa raslimali watu katika taasisi.Mafunzo hayo yametuwezesha kwa kirefu kujadili hali ya utumishi wa umma hapa nchini. Pichani natafakari nikielekea kupata msosi!

1 comment:

galih210 said...

ijin share ya
http://www.j-fleece.com/fleecious/galihpradnya