Tuesday, December 6, 2011

Watoto wa St. Vicent wakicheza ngoma ya asili


Angalia walkivyojipanga, angalia mavazi yao. Elimu ni pamoja na kuukubali na kuenzi utamaduni wako. Watoto wafundishwe ngoma zetu za asili kama kinavyofanya kituo cha Elimu ya awali kinachoendeshwa na Kanisa Katoliki Parokia ya Vikindu.

No comments: