Tuesday, December 6, 2011

Joho la kwanza la familia

Tarehe 3/12/2012 ilikuwa siku ya furaha kwa familia ya Banzi wa Kisemvule kwa kuona joho la kwanza ndani ya nyumba. Kwa furaha nilimpokea binti yangu huku nikiwa nimevaa kandambili. Maria Banzi amehitimu elimu yake ya awali katika Kituo cha Elimu ya Awali St. Vicent Vikindu. Mwakani anaanza darasa la kwanza. Anasafari ndefu ya kuvaa majoho!

2 comments:

drngarawakessy said...

Hongera sana Bi Maria.Hii picha ni nzuri sana,imependeza sana na imechukuliwa katika mazingira mazuri sana ya nyumbani (Tz) ikionyesha wazazi wawili wanaofuatilia maendeleo ya mtoto wao.Hakika mtoto katika hali kama hii ujisikia raha mno,kadhalika anakuwa nakumbukuku nzuri sana yawazazi

Innocent John Banzi said...

Asante Dr. Kessy kwa kufuatilia mambo ya nyumbani kupitia Blog ya Banzi wa Moro hii inanipa faraja kuwa kuna watu wanaopitia blog hii na kunifanya nining'inize mengi