Wednesday, December 7, 2011

Maria cheti cha kwanza cha elimu


Sikumbuki kama nilipata elimu ya awali! Na kwakweli sina cheti cha elimu ya awali na wala sikuvaa joho hata baada ya kumaliza elimu ya msingi na sekondari. Lakini mwanangu Maria ameanza vizuri. Namuombea kwa Mungu ampe afya na uwezo wa kujikita vizuri katika elimu kwani itamsaidia sana katika maisha yake. Wazazi tunaahidi kumsaidia.

No comments: