Tuesday, July 3, 2012

Huyu ni uncle 'Junior'



Huyu ni uncle wangu anaitwa 'Junior' ni mtundu kweli kweli anaishi kwenye flats za Buguruni.Junior anaweza kupega ukelele mkali sana, Junior anapenda kupigana inagwa ukimkaribia anakimbia (mimi huwa namwita 'Tyson'). Pichani Junior akiwa katika hekaheka sebuleni kwao. Mtoto furaha ya nyumba!

No comments: