Sunday, August 4, 2013

Familia yetu

Tulipofunga ndoa tulikuwa na hao jamaa wawili Sisty na Ude miaka 16 baadaye wameongezeka Catherine na Maria kweli familia imeongezeka!

1 comment:

Belo said...

Hongera Shemeji ,Mungu awape maisha marefu
Hiyo suti muhifadhie Sisty naona sasa inamtosha