Sunday, August 4, 2013

Nancy anakata Keki ya miaka 16 ya harusi yetu

Nilishangaa kukuta keki ya miaka 16 ya harusi yetu!

2 comments:

Belo said...

Hongera Shemeji ,Mungu awape maisha marefu
Hiyo suti muhifadhie Sisty naona sasa inamtosha

Innocent John Banzi said...

Asante shem Belo kwa comment. Lakini bado naendelea kuhifadhi pengine Sisty atakuja kufunga nayo ndoa lakini mwenzangu ni mrefu. Itabaki kuwa kwenye kumbukumbu yetu.