Friday, March 20, 2009

Si nzuri sana


Hii ndiyo Uhuru PARK ya jijini Nairobi. Si nzuri sana. Tukijizatiti hii ya kwetu ya Mnazi mmoja inaweza kuwa bomba ile mbaya. Jiji anzeni kazi basi

No comments: