Friday, March 20, 2009

Yanangoja kulazwa pale Msikitini-Kilwa Road


Barabara ya Kilwa kutoka Mtoni Mtongani hadi Mbagala rangi 3 imekamilika kwa asilimia 95. Bado mambo madogo madogo tu kama hili la kulaza maculverts. Vinginevyo sasa wanambagala wanajidai kifua mbele kuwa wanakaa mjini Mbagala!

No comments: