Friday, March 20, 2009

Twin Towers kwa mbali!


Hayo ndiyo majengo ya BoT yanayopigiwa kelele kwamba yamejengwa kifisadi. Majengo ni mazuri lakini fedha zilizotumika zinaendana na hali halisi? Ndo maana kuna badhi ya wafanyakazi waliohusika katika mchakato wa ujenzi wa jengo hilo wanatuhumiwa kwa ufisadi kesi iko mahakamani.

No comments: