Friday, March 20, 2009

Wengi tulinyonya vidole


Wengi wetu tulipokuwa wadogo tulikuwa na tabia ya kunyonya vidole! Uncle Magge Julius akinyonya dole. Hii ni moja ya hatua za makuzi za watoto akikua ataacha. Itakuwa hadithi tu. Mage alikuwa akinyonya vidole.

No comments: