Saturday, October 10, 2009

Raphael Benitez wa Liverpool


Mmoja wa makocha wanaojiamini katika Ligi Kuu ya Uingereza ni Raphael Benitez wa Liverpool. Hebu angalia mbwembwe za Benitez pichani. Lakini Banzi wa Moro anaipenda sana timu ya Liverpool kwa sababu gani? Wachezaji wake wanajituma sana hasa Stephen Gerald - The Captain. Lakini zaidi ya hilo nyuzi zao kama wekundu wa Msimbazi!

1 comment:

Belo said...

Naona Mr. Benitez yuko kwenye hali mbaya ,wakifungwa na ManU sijui kama atabaki