Tuesday, April 22, 2014

Athari za mvua Dar Es Salaam

Maporomoko ya Udongo, Mbagala. Nyumba hii ipo kabisa na Kiwanda cha zamani cha TANITA. Kanda ya barabara ya Kilwa  pale mlimani Kokoto. Mvua zikiendelea kunyesha. Nyumba hii itadondoka.

No comments: