Tuesday, April 22, 2014

Usafiri jijini Dar Es Salaam

Hali hii ya usafiri ni ya kawaida kabisa jijini  Dar Es Salaam. Ni msongamano wa magari, baisskeli na pikipiki. Hivi kweli tumeshindwa kuwa na utaratibu wa kurahisisha usafiri jijini? Hivi askari wa usalama barabarani wanafanya nini? Hivi SUMATRA kazi yake nini?

No comments: