Tuesday, April 22, 2014

Mitaro imeziba Tandika

Angalia jinsi maji yasivyotembea katika mitaro iliyopo Tandika. Angalia jinsi kiroba cha uchafu kilichopo pembeni. Hii ina maana  kuwa taka hizo zinaweza kumwagika ndani ya mtaro na hivyo kuufanya uzibe. Hivi kuna ugumu gani wa kusafisha mitaro ya maji machafu?

No comments: