Thursday, April 24, 2014

Makamu Mwenyekiti Parokia ya Vikindu aoshwa mguu

Siku ya Alhamisi Kuu  17/04/2014  Mhashamu Baba Askofu Titus Mdoe wa Jimbo Kuu la Dar Es Salaam aliwaosha miguu baadhi ya waamini wa Parokia ya Vikindu akiwemo Bw. Linus Kihawa, Makamu wa Mwenyekiti Halmashauri ya Walei Parokia ya Vikindu (aliyenyoosha mguu).

No comments: