Tuesday, April 22, 2014

Huduma ya Maji kwa kutumia nguvu ya jua

Baadhi ya Vijiji vya wilaya ya  Mkuranga, mkoa wa Pwani vimeanza kunufaika na huduma ya maji safi kwa kutumia visima vinavoendeshwa kwa nguvu ya jua (solar energy). Moja ya kijiji hicho ni  cha Kisemvule.

No comments: