Tuesday, April 29, 2014

DAR Express mkombozi wa usafiri kaskazini

Kampuni ya mabus ya Dar Express bado yanaoongoza kwa kutoa huduma bora na ya uhakika kwa abiria waendao mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara. Pichani bus likiwa Korogwe  huku abiria wakipata chochote kile cha kula.

No comments: