Tuesday, September 30, 2014
Ngongoti kutoka Kigango cha Malela- Siku ya sherehe ya Somo wa Parokia ya Vikindu
Ngongoti akiingia uwanjani akiwa na picha ya familia akiashiria kuwa huu ni mwaka wa familia |
Ngongoti akiwa na picha ya familia |
Ngongoti akijimwaga uwanjani |
Ngongoti akicheza 'zunguzunguka' |
Anaokota 'michuzi' aliyotunzwa ngongoti |
Huyu mwenye koti alishindwa kuvumilia na kuanza kuserebeka na ngongoti |
Ngongoti akionyesha picha ya familia wageni walioketi meza kuu |
Friday, September 26, 2014
Thursday, September 25, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)