Monday, September 8, 2014

Huyu ndiye shabiki wa Yanga aliyechana jezi

Shabiki huyu wa Yanga hakuamini kama Simba imeifunga Yanga alilia kwa uchungu na kurarua jezi yake. Ushabiki ni mbaya sana.

No comments: