Friday, September 19, 2014

Kukabidhi sanduku




Ukifika wakati wa kukabidhi sanduku kwa bibi harusi mtarajiwa, mambo mengi hufanywa. Hapo shangazi atadai hela ya kumtunza binti hadi siku ya harusi na kutakuwa na malumbano kidogo kwa watoaji na wapokeaji. Kwa Aneti Zulu Gama hayo yote yalifanyika jana tarehe 18/09./2014 siku ya kuagwa kwake ndani ya ukumbi wa Riverside-Ubungo jijini DAR.

No comments: