Thursday, September 18, 2014

Bright Angels High School-Mkuranga inawaandaa wanafunzi kuishi na watu






Bright Angel High School ni shule ya jirani na nyumbani kwangu Vikindu-Kisemvule, Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Walimu walio wengi ni majirani na tunafahamiana. Wanafunzi wa dhebu langu tunasali Kanisa moja la Vikindu. Mtoto wako akisoma Bright Angels High School anatayarishwa siyo kufaulu mitihani peke yake bali kuishi na watu na kufanya kazi kwa bidii bila kusahau kumcha Mungu.

No comments: