Thursday, September 25, 2014

Dr. Rehema Nchimbi atia moyo watafiti







   Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi, hivi karibuni alitembelea Kituo cha Utafiti wa Kilimo Makutupora mkoani Dodoma kuona shughuli za utafiti. Ulifurahishwa sana na utafiti wa mahindi unaotumia maji machache unaoendelea hapo kituoni. Mahindi yamestawi vizuri sana. Aliwataka watafiti kusambaza teknolojia hiyo kwa wakulima

No comments: