Friday, September 19, 2014

Chai ya Upendo ukumbini Riverside-Ubungo










Baada ya kumuibua ukumbini. Aneti alimzawadia Faustini, chai ya maziwa na kumnywesha na kisha kumpa busu la nguvu. Oyaaaaa!!!!Weweee!!! Piga keleleeeee!!! Ni jana hiyo ndani ya ukumbi wa RIVERSIDE -Ubungo jijini DAR

No comments: