Wednesday, September 24, 2014

Task Force ya kuandaa 'Gender Mainstreaming Manual'

Picha pamoja na Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo Dr. Fidelis Myaka (wa pili kutoka kulia)
Bi. Adeline Muheebwa -Mwezeshaji kutoka ASARECA- Entebbe, Uganda
Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika inaendelea na juhudi zake za kuhakikisha kuwa shughuli zake zinazingatia jinsia katika nyanja zote. Idara ya Utafiti na Maendeleo inaandaa 'Gender Mainstreaming Manual' kwa ajili ya matumizi ya Idara hiyo ili kuhakikisha kuwa masuala ya jinsia yanazingatiwa katika kuzalisha  teknolojia za kilimona kuwafikia walengwa. Timu ya watafiti  tisa kutoka Idara hiyo wako mjini Morogoro kwa maandalizi ya 'manual' hiyo.

No comments: