Thursday, September 25, 2014

Harusi ya Onyango-Mabinti warembo

Hao waliovalia sketi za njano ndiyo waliokuwa mabinti warembo waliopamba harusi ya Bw na Bibi Faustini Onyango kuanzia kanisani Vikindu hadi ukumbini DAR-LIVE -Mbagala, Dar Es Salaam.

No comments: