Friday, September 19, 2014

Mama Pokea Keki ya upendo


Kwa unyenyekevu na adabu. Aneti Gama anakabidhi Keki kwa wakwe zake. Haya yote yalifanyika usiku wa tarehe 18/09/2014 katika ukumbi wa Riverside jijini Dar siku ya ndugu zake waliandaa sherehe ya kumuaga kabla ya kufunga ndoa siku ya Jumamosi tarehe 20/09/2014 Parokiani Vikindu baadaye kwenye makaribisho ukumbi wa DAR LIVE-Mbagala.

No comments: