Monday, September 8, 2014

Mashabiki wa Yanga wakijiandaa kuingia uwanjani

Sina data. Lakini nadhani mashabiki wa Yanga wanaoingia uwanjani ni wengi kuliko wa Simba. Mimi ni  Simba damu lakini nafikiri ndivyo ilivyo.

No comments: